Kenya kujitegemea kuhusu ufadhili wa mipango ya afya

  • | Citizen TV
    223 views

    Uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kusimamisha ufadhili wa miradi ya huduma za afya kupitia mpango wa USAID, umepelekea serikali ya Kenya kutafuta njia mbadala za kufadhili mipango mbali mbali