Wanafunzi washauriwa kuchagua taalum hitajika

  • | KBC Video
    2 views

    Chuo kikuu cha Embu kiliandaa mkutano wake wa kwanza wa kila mwaka kuhusu kozi na taaluma kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi ufahamu na mwongozo wa kuchagua taaluma ama kozi zinazowaniana na soko la ajira. Katibu katika elimu ya juu na utafiti, dkt Beatrice Inyangala aliyeongoza hafla hiyo alisisitiza haja ya wanafunzi kuimarisha ujuzi wao ili wawe na nafasi nzuri ya kupata kazi ambazo zinadidimia kila uchao kutokana na ujio wa teknolojia na ubunifu. Maudhui ya warsha hiyo ya wiki moja ni kuwasaidia wanafunzi kufanya uamuzi wa busara wanapochagua taaluma katika ulimwengu wa sasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive