Kenya yazindua kituo cha uvumbuzi wa kiteknolojia

  • | KBC Video
    128 views

    Safari ya Kenya ya kusonga mbele katika uwanda wa uvumbuzi na teknolojia imeng’oa nanga kufuatia uzinduzi wa kituo cha ubunifu kilichopewa jina Silicon Savannah katika chuo kikuu cha Nairobi. Mpango huo uliofadhiliwa kwa ushirikiano na serikali ya Ufaransa unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi humu nchini yanayolenga kuliweka taifa hili kifua mbele kwenye ustawi wa kiteknolojia ulimwenguni. Giverson Maina na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive