Kero ya barabara Narok

  • | Citizen TV
    105 views

    Wazazi wa shule ya msingi ya Serewet iliyoko eneo bunge la Emurua Dikirr wamelalamikia hali mbovu ya barabara inayoelekea shuleni kwao wakiibua hofu ya kuchelewesha ujenzi wa madarasa