Uamuzi wa mahakama kuhusu malipo ya fidia kwa waathiriwa wa mlipuko wa bomu uliotokea Nairobi tarehe 7 Agosti 1998 umeahirishwa hadi tarehe 15 mwezi Januari mwakani. Jaji wa Mahakama Kuu, Lawrence Mugambi, aliahirisha uamuzi huo akisema anahitaji muda zaidi kukagua hati za kesi hiyo kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho. Taarifa kamili katika mizani ya haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive