Kesi tatu za kumtetea Gachagua zimewasilishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    2,772 views

    Juhudi za kusitisha kuwasilishwa bungeni kwa hoja ya kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua ofisini zimegonga mwamba. Kesi tatu zilizowasilishwa mahakamani kupinga jaribio la kumtimua Gachagua hii leo hazikufaulu