Kiapo cha wanasiasa serikalini kimeibua wasiwasi kuhusu ahadi za Kenya Kwanza

  • | NTV Video
    2,700 views

    Kiapo cha hivi punde zaidi cha wanasiasa Mutahi Kagwe, William Kabogo na Lee Kinyanjui katika baraza la mawaziri la Rais William Ruto Kimeibua wasiwasi na kuporomoka kwa ahadi za Kenya Kwanza zilizotolewa kwa wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa 2022, haswa kuhusiana na kujumuishwa kwa raia wa kawaida kama vile mama mboga na mahasla katika serikali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya