Kibet Bull na Ronny Kiplang'at warejea nyumbani Kuresoi Kusini kwa mbembwe

  • | NTV Video
    1,886 views

    Familia ya mwanavibonzo Kibet Bull na kakake Ronny Kiplang'at waliokuwa wametekwa Nyara wamepokelewa nyumbani kwao Kuresoi Kusini kaunti ya Nakuru katika mbembwe na nderemo, siku moja baada ya kuachiliwa huru.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya