Kijoto cha uongozi chashuhudiwa bungeni

  • | Citizen TV
    1,569 views

    Hali ya mshikemshike ilishuhudiwa katika mabunge yote mawili huku shughuli zikitatizika baada ya wabunge wa Azimio la Umoja One Kenya kusisitiza kukaa upande wa walio wengi wakitaka maspika wa mabunge hayo kuheshimu uamuzi wa mahakama. Mahakama ilisema kuwa spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula alikosea alipotangaza kwamba kenya kwanza ndiyo yenye wabunge wengi.