Kilio cha haki

  • | NTV Video
    542 views

    Familia zilizopoteza jamaa zao baada ya kupigwa risasi katika maandamano ya kupinga mswada wa fedha zinaendelea kujitokeza. familia hizo zinalalamikia uhasama uliowapata wanawao mikononi mwa serikali waliyoichagua. Wengi wao wameeleza kughadhabishwa kwao na serikali, wanayoilaumu kwa kutumia nguvu kupita kiasi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya