Kina mama wahamasishwa dhidi ya dhuluma za kijinsia transmara

  • | Citizen TV
    136 views

    Huku Ulimwengu ukiendelea kuhamasisha jamii kuhusu dhulma za kijinsia, mamia ya kina mama kutoka Jamii ya wamaasai walikongamana kule Ilipashire Transmara kujadili mustakabali wao wa maendeleo. Hafla hiyo ikiungwa mkono na viongozi eneo hilo akiwemo Mkewe gavana wa Narok Agnes Ntutu. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno alitangamana na kina mama hao na hii hapa taarifa yake.