Kinamama wataka mshukiwa wa ubakaji akamatwe

  • | Citizen TV
    97 views

    Wanawake Katika Kaunti ya Kajiado wametoa wito Wa usalama Kwa wanawake wanaopitia dhuluma za kijinsia