Kinara wa Wiper aendelea kumkosoa Rais William Ruto

  • | Citizen TV
    761 views

    Kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, ameendelea kumkosoa Rais William Ruto kwa kile amekitaja kama kunyanyasa wananchi kwa kuwatwika ushuru kupita kiasi