Kindiki ajadiliana kuhusu miradi na viongozi wa Embu

  • | KBC Video
    121 views

    Naibu rais Professa Kithure Kindiki amesisitiza kwamba serikali imejitolea kuhakikisha kwamba hakuna sehemu ya nchi hii itakyobaguliwa ,huku serikali ikiendelea na utekelezaji wa miradi muhimu ya maendeleo kote nchini. Akiongea leo katika makazi yake rasmi ya Karen,jijini Nairobi ,alipokutana na viongozi na wakazi 1,500 kutoka kaunti ya Embu,Kindiki alikariri kujitolea kwa serikali kuhakikisha kuwa hakuna eneo linalobaguliwa kimaendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive