Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ametoa changamoto kwa viongozi waliochaguliwa, kuzingatia utekelezaji wa wajibu wao, na kujiepusha na siasa za migawanyiko. Akizungumza katika eneo la Kagema kaunti ya Murang’a, naibu rais alisema viongozi bora hutumia mamlaka waliyotwikwa kikatiba kuwatafutia wananchi ufanisi, badala ya kuungana na wananchi kulalamika. Gichuki Wachira ana taarifa hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive