Kioja cha Taka I Maafisa-2 wa serikali ya kaunti ya Nairobi wasimamishwa kazi

  • | KBC Video
    58 views

    Gavana Johnson Sakaja amewasimamisha kazi maafisa wawili wakuu wa serikali ya kaunti ya Nairobi kuhusiana na kisa cha umwagaji taka karibu na jengo la Stima Plaza. Sakaja aliambia kamati ya bunge kuhusu utawala na usalama wa taifa kwamba tukio hilo lilikiuka sera za kaunti. Idara ya upelelezi wa jinai lifichua kuwa madereva waliohusika katika sarakasi hiyo wamechukuliwa hatua za kisheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive