Kiongozi Wa Chama Cha Narc-Kenya Martha Karua Alaani Visa Vya Utekaji Nyara Vinavyoshuhudiwa Nchini

  • | TV 47
    239 views

    Kiongozi Wa Chama Cha Narc-Kenya Martha Karua Alaani Visa Vya Utekaji Nyara Vinavyoshuhudiwa Nchini

    Kiongozi wa chama cha Narc-Kenya Martha Karua amekuwa wa hivi punde kulaani visa vya utekaji nyara vinavyoshuhudiwa nchini.

    Akizungumza katika Kaunti Ya Kirinyaga Karua amesema ingawa Inspekta Jenerali Wa Polisi amekanusha kuhusika kwa vyovyote kwenye utekaji nyara huo wakenya hawana imani na idara ya polisi ambayo wenge wanakisia imehusika pakubwa

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __