Kiteezi eneo karibu na makazi ya watu ni dampo la Kampala kwa miongo mingi

  • | VOA Swahili
    172 views
    Kanda hii ya video inaonyesha eneo ambapo kumetokea maafa ya maporomoko ambalo ni dampo la takataka linafahamika kama Kiteezi, ambako kwa miongo mingi limekuwa likitupwa takataka zinazo zalishwa mjini Kampala, hadi kugeuka na kuwa mlima, huku wakazi waishio karibu wakilalamika kutokana na taka zenye sumu, pamoja na uharibifu wa mazingira. - Reuters, AP na VOA. Picha na Mwandishi wa VOA, Sadam Muballe, Kampala, Uganda. #uganda #kampala #takataka #dumpo #maporomoko #vifo #polisi #voa #voaswahili