"Siamini kwamba Chama chetu kitakufa kwa sababu ya kusimamia ukweli"

  • | BBC Swahili
    1,466 views
    Makamu mwenyekiti wa Chadema anasema wako tayari kuona chama hicho kinakufa kikipigania ukweli na si vinginevyo. Mwandishi BBC @eagansalla_gifted_sounds alifanya mahojiano maalumu na Heche na hii ni sehemu tu ya mahojiano hayo ambayo kwa urefu utayapata kwenye ukurasa rasmi wa YouTube wa BBC Swahili. @frankmavura #bbcswahili #tanzania #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw