Kituo cha Giants of Twiga kinawahifadhi waathiriwa 17 wa dhuluma za kijinsia

  • | KBC Video
    11 views

    Vifaa vya Maabara ya uchunguzi wa sampuli za msimbojeni vitawekwa katika hospitali ya wanawake na watoto nchini katika juhudi za kuhakikisha waathiriwa wa dhulma za kijinsia wanapata haki. Kituo hicho cha wanawake na watoto ,la shirika la kufadhili elimu ya wasichana ya giants of Twiga na jamii ya wafanyibiashara wameanza uhamasisho na mpango wa kuchangisha pesa za kununua vifaa hivyo. Kufikia sasa ,kituo hicho kinawahifadhi waathiriwa 17 wa dhulma za kijinsia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive