Kivukio cha watu wanaotembea eneo la Mlolongo kimetekwa na wanabodaboda na wachuuzi

  • | Citizen TV
    706 views

    Wakaazi wa mji wa Mlolongo katika kaunti ya Machakos wanahofia usalama wao katika kivukio ambacho sasa kimetekwa na waendeshaji boda boda na wachuuzi. Wakaazi hao haswa wale wanaoishi na ulemavu wanapata ugumu kutumia kivukio hicho ambacho kimegeuka kuwa hatari wengi wakiibiwa na wengine kuumizwa na pikipiki.