Klabu Ya Sudhe FC Yatoa Ombi Kwa Serikali Kukuza Talanta Zilizo Mashinani

  • | TV 47
    4 views

    Klabu Ya Sudhe FC Yatoa Ombi Kwa Serikali Kukuza Talanta Zilizo Mashinani

    Vilabu vinavyoshiriki ligi ya soka humu nchini, kama vile Sudhe FC, kutoka Kaunti ya Siaya vimewasihi serikali kuzikuza talanta zinazopatikana maeneo ya mashinani.

    Haya yanajiri punde tu kabla ya mashindano ya mataifa ya bara afrika kun’goa nanga tarehe 1 Februari, nchini Kenya, Uganda na Tanzania.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __