KMPDU yadai madaktari wa kigeni wanatumiwa visivyo

  • | KBC Video
    37 views

    Chama cha wahudumu wa afya , wanafamasia na madaktari wa meno kinazishutumu baadhi ya hospitali za kibinafsi na za mishenari za humu nchini kwa kuwaajiri madaktari wa kigeni chini ya masharti magumu na kuwashawishi kutoa huduma zinazokiuka maadili ya taaluma ya matibabu. Katibu mkuu wa chama hicho Dr. Davji Attellah anadai kwamba baadhi ya madaktari hao wa kigeni wanaohudumu humu nchini walipokonywa leseni zao za udaktari katika mataifa yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive