- 496 viewsDuration: 1:46Kocha wa timu ya taifa ya soka kwa vijana wa chini ya miaka 17 William Muluhya ametaja kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 25 kitakachowakilisha Kenya kwenye mchuano wa kufuzu kwa AFCON kanda ya cecafa utakaoandaliwa nchini Ethiopia kuanzia Novemba 15.