Kongamano la uwekezaji lang'oa nanga Vipingo, Kilifi

  • | Citizen TV
    80 views

    Bodi ya kudhibiti uuzaji wa dawa za wadudu na mimea imewaonya wachuuzi kutoka kaunti ya kilifi na ukanda wa pwani kukoma kufanya biashara hiyo kwani wachuuzi hao hawana vibali vyovyote na hivo kuhatarisha Maisha ya binaadamu. Uchunguzi umebaini kuwa idadi ya wachuuzi wanaouza dawa ghushi imeongezeka na kwa sasa wamiliki wa maduka halali ya kuuza dawa hizo wamekuwa wakiwakabidhi watu wasio na elimu kuuza dawa maeneo Mengi. Roba Liban anaarifu