- 842 viewsDuration: 8:36Kongamano la walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi linaanza rasmi hii leo. Zaidi ya walimu wakuu 10,000 wanahudhuria kongamano hilo huko Mombasa wakilenga kujadili utekelezaji mfumo wa CBE na sekondari msingi mbali na mafanikio na changamoto ibuka.