Koome : Serikali kuimarisha uwazi na uadilifu wa mahakama

  • | KBC Video
    24 views

    Serikali inafanyia mabadiliko mfumo wa idara ya mahakama ili kuweza kuhudumia familia kwa haki na uadilifu. Akiongoza siku ya mahakama ya familia ya hakimu mkuu , jaji mkuu Martha Koome, alielezea umuhimu wa mfumo wa haki unaohudumia kila mmoja na kuangazia hali halisi ya familia. Jaji mkuu pia alifanya kikao maalum ya kutoa heshima pamoja na kufunga faili za marehemu majaji wa zamani wa mahakama kuu , David Majanja na Daniel Ogembo, ambao walifariki mwaka uliopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive