Tundu Lissu ni nani?

  • | BBC Swahili
    24,400 views
    Hivi sasa, akiwa amewekwa rumande kwa tuhuma za uhaini, jina la kiongozi huyu wa chama kikuu cha upinzani limerudi tena kwenye vichwa vya habari, lakini hii si mara ya kwanza. Lissu ni mtu wa historia ndefu. Ili kumuelewa kwa undani ni muhimu kumtazama kwa jicho pana: ni nani hasa huyu mtu? @lasteck2024 anaelezea mambo saba muhimu yanayomtambulisha. 🎥: eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw