KPA itajenga bandari kavu katika miji ya busia na malaba

  • | Citizen TV
    118 views

    Serikali ya kaunti ya Busia na halmashauri ya bandari nchini KPA zitashirikiana ili kupuzunguza msongamano wa malori ya masafa marefu ya mizigo na petroli katika miji iliyoko mpakani ya Busia na Malaba ili kuimarisha biashara