Kudorora kwa elimu Isiolo : Wadau watoa wito wa uwajibikaji na ushirikiano

  • | KBC Video
    22 views

    Wadau wa sekta ya elimu katika kaunti ya Isiolo wametoa wito wa uwajibikaji wa pamoja ili kuimarisha viwango vya elimu katika eneo hilo kupitia matokeo bora ya mitihani. Wakati wa kikoa cha kwanza cha wadau hao mjini Isiolo,maafisa hao walichanganua matokeo ya mitihani ya shule za umma za eneo hilo katika muda wa miaka mitano iliyopita , wakiangazia changamoto zilizopo. Walisisitiza haja ya mkakati wa pamoja wa kuboresha viwango vya elimu katika eneo hilo .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive