Skip to main content
Skip to main content

Kuendelea kung'olewa madarakani kwa vyama tawala barani Afrika

  • | BBC Swahili
    17,823 views
    Duration: 2:07
    kumeibua swali ikiwa wimbi hili linamaanisha zama mpya za kisiasa barani Afrika, Lakini wimbi hili litazigusa pia nchi zingine kama Uganda, zinazotarajiwa kuwa na uchaguzi mkuu hivi karibuni? Mwandishi wa BBC @Sammyawami anaangazia baadhi ya nchi ambazo tayari zimepitiwa na upepo huu mpya wa kisiasa Afrika. 🎥: @frankmavura - - #bbcswahili #afrika #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw