Skip to main content
Skip to main content

Kulitambua taifa la Palestina ni 'wazimu mtupu' asema Netanyahu, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,978 views
    Duration: 28:11
    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amezungumzia uamuzi wa nchi zikiwemo Ufaransa na Uingereza kutambua taifa la Palestina, na kuuita "kujiua kitaifa". Ni "wazimu mtupu, ni wazimu na hatutafanya hivyo," Waziri Mkuu wa Israel anasema. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw