Kumbukumbu ya hayati rais Mwai Kibaki

  • | Citizen TV
    1,294 views

    Viongozi mbalimbali wakiwemo aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua, aliyekuwa waziri Justin Muturi , aliyekuwa gavana wa makueni Kivutha kibwana, na viongozi wa upinzani Kalonzo musyoka na Eugene Wamalwa ni miongoni mwa wageni waliohudhuria hafla ya kuadhimisha miaka miwili tangu kifo cha hayati Rais wa tatu Mwai Kibaki. viongozi hao wameandamana pia na aliyekuwa mkuu wa utumishi wa umma katika serikali ya hayati Kibaki Francis Muthaura, ambako kumbukumbu za uongozi wa hayati Rais Kibaki