Kumbukumbu ya miaka 80 ya mateso katika kambi ya Auschwitz

  • | BBC Swahili
    554 views
    Tarehe 27 Januari itakuwa miaka 80 tangu mateso dhidi ya wayahudi katika kambi ya Auschwitz yatokomezwe na wanajeshi mwishoni mwa vita vya pili vya dunia. Lakini haikuwa kambi ya kwanza kukombolewa. je iliwezaje kuwa ishara ya ukatili walioupitia wayahudi #bbcswahili #Auschitz #wayahudi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw