Kumbukumbu za Leonard Mambo Mbotela

  • | KBC Video
    776 views

    Baadhi ya watangazaji wakongwe kwenye tasnia ya habari waliofanya kazi kwa karibu na mtangazaji nguli marehemu Leonard Mambo Mbotela wamemtaja kuwa mtu mkarimu na asiye na ubinafsi aliyewatakia wenzake mema kila wakati. Walimsimlia mwanahabari wetu Kamche Menza kumbukumbunza kufanya kazi na mtangazaji huyo nguli aliyafariki jana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive