Kuongezeka kwa maradhi ya shinikizo ya damu na kisukari Lamu

  • | KBC Video
    7 views

    Shinikizo la damu na kisukari vinaibuka kuwa matatizo makuu ya kiafya kwa wakazi wa Kisiwa cha Lamu.Haya yalidokezwa wakati wa hafla ya elimu ya afya na matibabu bila malipo iliyoandaliwa na kituo kimoja cha afya katika kisiwa hicho. Hafla hiyo ililenga kutoa hamasa na suluhu za kudhibiti maradhi haya sugu, ambayo yamekuwa yakiongezeka katika miaka ya hivi majuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive