Kura yako sauti yako

  • | KBC Video
    21 views

    Baadhi ya vijana wa chama cha National Liberal wanawahimiza wenzao kote nchini kujisajili kuwa wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka-2027 kuhakikisha sauti zao zinasikika. Wakiongea jijini Nairobi, vijana hao walisema wanaendeleza kampeni ya kutoa uhamasisho kuhusu usajili wa wapiga kura kote nchini kumuunga mkono kiongozi wa chama hicho Agustus Muli katika uchaguzi mkuu ujao. Wakati huo huo walitoa wito kwa maafisa watakaoteulia kuwa mwenyekiti na makamishna wa tume ya IEBC kutekeleza kuandaa uchaguzi huo kwa njia ya wazi na uadilifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News