Kutana na ligi ya kipekee ya wabibi wanasoka barani Afrika

  • | BBC Swahili
    997 views
    Huenda wasiwe na ujuzi kama Lionel Messi au Cristiano Ronaldo, lakini hilo halijawazuia Bibi hawa wa Kiafrika kujifunza kupiga penalti na mbinu za kukaba. - Hii imekuwa kazi ya Rebecca Ntsanwisi mwenye umri wa miaka 57 kutoka Afrika Kusini, aliyeanzisha timu za Bibi wazee wanasoka katika nchi mbalimbali barani Afrika kwa lengo la kuboresha afya ya akili na mwili kwa wanawake wenye umri mkubwa. - Timu tano kutoka Afrika zinashiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Soka la wabibi huko Limpopo, ambapo mchezaji mkongwe zaidi ana zaidi ya miaka 80. Tazama video hii uone jinsi soka ilivyowapa maajuza hawa mwamko mpya wa maisha. - - - #bbcswahili #soka #wabibi #kandanda #ligi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw