Kwa nini baadhi ya wafanyabiashara wanashaka kuwa uchumi utaimarika?

  • | VOA Swahili
    17 views
    Nchini Kenya ambapo serikali inasema uchumi wa taifa hilo umeimarika na kufikia asilimia 3.3 kufikia mwezi Januari mwaka 2024. Lakini wananchi wengi na wafanyabiashara bado hawana utulivu. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ushuru na makato ambayo yanaathiri uwezo wao wa kujikimu mahitaji yao ya kila siku. Ungana na mwandishi wa VOA, Nairobi, Kenya, Zainab Said akikuletea ripoti kamili... #uchumi #serikali #kenya #wananchi #ushuru #makato #voa #voaswahili #zainabsaid #nairobi