Kwa nini vijana wa Korea wanaishi katika nyumba zilizojaa takataka

  • | BBC Swahili
    710 views
    Nchini Korea Kusini, makampuni ya usafi yanapata biashara zaidi kutoka kwa vijana wa Korea Kusini wanaoishi katika nyumba zilizojaa taka katika miaka ya hivi karibuni. Wengi wao ni watu wenye umri wa miaka kati ya 20 na 30, na hali yao ya afya ya akili inamaanisha kuwa wamepoteza uwezo wa kufanya kazi za kawaida kama kusafisha. #bbcswahili #koreakusini #afyayaakili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw