Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini viongozi wa Afrika wanataka sauti zaidi huko UN?

  • | BBC Swahili
    8,654 views
    Duration: 5:28
    Viongozi wa Afrika wamelalamika kuhusu kutoshirikishwa kikamilifu katika uongozi wa Umoja wa Mataifa, wakidai kuwa UN imepuuza sauti za mataifa 54 ya Afrika. Viongozi hao wamemesisitiza kuwa suala la Afrika kutengwa si haki, na ni jambo linalowatoa imani katika mchango wao kwenye Umoja huo. #dirayaduniatv