Lalama za maskwota rwai : Maskwota watoa tahadhari ya kulaghaiwa

  • | KBC Video
    11 views

    Maskwota wa mpango wa makazi wa Ruai, wameyatahadharisha makundi ya walaghai yanayotumia jina la maskwota wa Ruai kuwapunja wanunuzi wa ardhi wasiokuwa na ufahamu. Wakiongozwa na mwenyekiti wa mpango wa makazi wa Ruai, Abdi Halif Gicha, maskwota hao walithibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya wanachama wake waliosajiliwa pekee. Pia alisisitiza kwamba wale wanaojiita wanachama wa mpango huo wanafaa kufahamu kuwa wanastahili kuwa na stakabadhi halali za ardhi hiyo, na kuidhinishwa na baraza la kaunti ya Nairobi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive