LSK Yamtaka Mkuu Wa Polisi Douglas Kanja Kujiuzulu Kwa Kushindwa Na Kazi Ya Kulinda Wakenya

  • | TV 47
    201 views

    LSK Yamtaka Mkuu Wa Polisi Douglas Kanja Kujiuzulu Kwa Kushindwa Na Kazi Ya Kulinda Wakenya Dhidi Ya Utekajinyara

    Chama Cha Wanasheria nchini kinamtaka Inspekta Mkuu Wa Polisi Douglas Kanja kujiuzulu, kikisema kuwa ameshindwa kutekeleza jukumu lake kuu la kuwalinda wakenya.

    Shinikizo hlli linajiri kufuatia utekaji nyara wa wale wanaodaiwa kutumia mitandao ya kijamii kukosoa uongozi wa Rais William Ruto.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __