Skip to main content
Skip to main content

Luhaga Mpina kuwania Urais Tanzania

  • | BBC Swahili
    7,051 views
    Duration: 2:27
    Mgombea Mteule wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina sasa yuko huru kuendelea na mchakato wa uchaguzi baada ya chama chake kushinda kesi dhidi ya Tume huru ya taifa ya uchaguzi (INEC). Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw