Maafisa 5 wa polisi wafikishwa mahakamani kuhusu waliotoroka seli

  • | Citizen TV
    5,792 views

    Sasa imebainika kuwa mahabusu 13 waliotoroka kutoka kituo cha polisi cha Gigiri siku ya jumanne walitoka wakitumia mlango wa kituo hicho. Haya yamebainika huku maafisa watano wa polisi waliohudumu kwenye kituo hiki kabla ya kusimamishwa kazi wakifikishwa mahakamani