Maafisa Tabibu Wametoa Ilani Ya Mgomo

  • | TV 47
    27 views

    Maafisa Tabibu Wametoa Ilani Ya Mgomo

    Viongozi wa muungano ya maafisa tabibu nchini wameshirikiana na kutoa ilani ya mgomo wao unaonuiwa kuanza rasmi tarehe 19 Januari, 2025 ikiwa serikali haitatekeleza matakwa yao.

    Aidha, matabibu wameitaka serikali kubadilisha usimamizi wa mamlaka ya jamii (SHA) wakidai kwamba mfumo huu mpya wa sha unawakandamiza.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __