Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa EACC wakamata polisi 5 wakipokea hongo kwenye barabara ya Busia-Kisumu

  • | Citizen TV
    1,158 views
    Duration: 1:57
    Wakazi pamoja na wahudumu wa magari ya uchukuzi katika kaunti ya Busia wameshabikia kukamatwa kwa askari watano wa trafiki waliokuwa wakiwashurutisha madereva kutoa hongo katika kizuizi cha barabarani kilichoko kwenye barabara kuu ya Busia kwenda Kisumu.