Maafisa wa jeshi na polisi washika doria Nairobi, Kenya

  • | BBC Swahili
    4,271 views
    Baadhi ya waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Nairobi nchini Kenya lakini wengi wamezuiwa na polisi. Mafisa wa kijeshi pia wanapiga doria kwa magari na kwa miguu Nairobi. #bbcswahili #kenya #maadamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw