Maafisa wa polisi Pangani wanufaika na huduma za matibabu

  • | KBC Video
    76 views

    Maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Pangani kaunti ya Nairobi, hii leo walinufaika na kambi ya matibabu bila malipo. Maafisa hao walifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu, kupokea huduma za ushauri nasaha na mazungumzo kuhusu afya bora. Joseph Wakhungu ana taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive