Maafisa wa polisi walikita kambi kutawanya waandamanaji waliothubutu kuingia katikati ya jiji

  • | KBC Video
    162 views

    Hapa ni katikati mwa jiji la Nairobi Maafisa wa polisi walikita kambi hapa tangu asubuhi ,tayari kukabiliana na waandamanaji Na waandamanaji waliothubutu kuingia katikati mwa jiji walitawanywa mara moja Biashara nyingi katikati mwa jiji pia hazikufunguliwa,wafanyabiashara wakihofia kuvamiwa na wahuni. Uchukuzi wa abira pia uliathirika pakubwa,magari machache yakikubaliwa kuingia katikati mwa jiji la Nairobi.Majengo muhimu ya serikali katika jiji kuu la Nairobi pia yalikuwa chini ya ulinzi mkali,mchana kutwa. Barabara za kuekelea katika majengo ya bunge na mahakama ya upeo zilifungwa . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News